Nov 17, 2016

U HEARD: Diamond Platnumz Atajwa Kuhusika Kuvunjika Uhusiano wa Tunda

Mrembo Tunda
U Heard ya XXL ndani ya Clouds FM leo ipo na stori kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Video Queen Tunda na mwanaume anayedaiwa kuwa ndiye anayegharamia kila kitu kwenye maisha ya Tunda kuanzia magari, nyumba, simu na starehe zote.

Sababu za kuvunjika kwa uhusiano huo imetajwa kuwa ni baada ya Tunda kuanza kutoka kimapenzi na mwimbaji star Diamond Platnumz na weekend iliyopita walikuwa wote Zanzibar kwenye show ya Diamond.

Soudy Brown ameipata sauti ya Tunda akijieleza na kujitetea kwa Sponsor wake juu ya kuonekana kwake Zanzibar akiwa karibu na crew ya Diamond Platnumz.

“Mimi nilienda Zanzibar sikwenda kwa Diamond nilienda na Posh na bwana ake Posh kama una namba ya Posh mpigie umuulize, Kwani haumjui Posh yule rafiki yangu wa Kariakoo nilikwambia kuna rafiki yangu ana bwana mchina amemuoa. Ndo alinipigia tukaenda wote Zanzibar”;-Tunda 

Kuipata stori kamili bonyeza Play hapa chini:Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR