• Breaking News

  Nov 10, 2016

  UCHAGUZI MAREKANI: Karibia asilimia 50 ya Wamarekani Hawakupiga Kura


  UCHAGUZI MAREKANI: Karibia asilimia 50 ya Wamarekani waliostahili kupiga kura hawakupiga kura katika Uchaguzi wa Urais uliomalizika jana.

  Asilimia 25.6 walimpigia kura Hillary Clinton na asilimia 25.5 walimpigia kura Rais Mteule Donald Trump.

  Donald Trump alishinda kwa idadi kubwa ya wajumbe kwa kushinda kwenye majimbo yenye wajumbe wengi, mfano Florida na Ohio

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku