• Breaking News

  Nov 1, 2016

  Video: Dakika 4 za Mbowe vs Waziri Mhagama Bungeni Leo Kwenye maswali na majibu

  Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania limeanza tena Dodoma leo November 1 2016 ambapo kwenye post hii nakukutanisha na kipindi cha maswali na majibu, swali limetoka kwa mbunge wa jimbo la Hai na Freeman Mbowe unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini. 
  Video:

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku