• Breaking News

  Nov 26, 2016

  VIDEO: Jamaa Aliyesimama Kutoa Kero ziara ya Dar Mpya Alivyoishia Kuchukuliwa na Polisi

  Mkutano wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda uliendelea November 25 2016 Ubungo, jamaa alisimama kutoa kero wakati anajieleza akasema yeye ni mjumbe wa serikali ya mtaa, kajieleza kuwa alikuwa akichangisha fedha ambapo kinyume cha utaratibu kwa agizo la mwenyekiti kwa ajili ya kutengeneza barabara ambapo RC Makonda akatoa agizo achukuliwe na polisi kwa ajili ya kutoa maelezo.

   Unaweza kuangalia video hii hapa chini:
  Source:Millard Ayo

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku