• Breaking News

  Nov 4, 2016

  VIDEO: Mbunge Lusinde Alivyosimama Kusema Anawapongeza Upinzani

  Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde hajapendezwa na baadhi ya wabunge kukosoa utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli pamoja na watendaji wake na ameamua kuyaongea haya >>> ‘wanaposimama kusema serikali imefilisika msifikiri wanaisema serikali… HAPANA‘

  Kutazama zaidi bonyeza play kwenye hii video hapa chini:

  1 comment:

  1. Mm napendaga sana clips zako bwana Lusinde tumbuaneni

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku