• Breaking News

  Nov 28, 2016

  VIDEO: Mwenyekiti alivyoibuka mkutanoni DarMPYA kujibu tuhuma za kumtaka kimapenzi mwanamke

  Siku ya tisa ya ziara ya DarMPYA kwenye mkutano Tandale mama mmoja alitoa tuhuma kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda dhidi ya mwenyekiti wa Mivinjeni, Barua Mwakilanga akidai kuwa mwenyekiti huyo ametaka kumuondoa kwenye eneo lake la biashara na kutaka kujenga kituo cha polisi.

  Baada ya kuwa na mvutano huo, mama huyo amedai kuwa Mwenyekiti huyo alimtaka kimapenzi kwa kumwambia waonane nje ya ofisi wikiendi. Mwenyekiti huyo alizisikia tuhuma hizo kupitia Clouds TV akakimbilia mkutanoni kujibu tuhuma. Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku