• Breaking News

  Nov 25, 2016

  VIDEO: Rais Magufuli akieleza sababu ya kuvunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato TRA

  RAIS John Magufuli amefichua siri ya hatua yake ya kuitumbua Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

  Amesema alilazimika kuchukua hatua hiyo baada ya bodi hiyo kuidhinisha Sh bilioni 26 kupelekwa kuwekwa kwenye akaunti maalumu( Fixed Account)  katika benki kadhaa za biashara.

  Msikilize hapo chini

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku