Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya aliuliza swali bungeni kwamba kuna wananchi jimboni kwake walitoa ardhi yao kwa ajili ya mradi wa EPZA lakini hadi sasa ni zaidi ya miaka saba tangu wamefanyiwa tathmini lakini hawajalipwa fidia.

Majibu yakatolewa na waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Charles Mwijage lakini hayakumridhisha Easter Bulaya na kuamua kusimama tena, unaweza kutazama hapa chini kwenye hii video


Post a Comment

 
Top