• Breaking News

  Nov 13, 2016

  VIDEO:Muonekano wa Ndani wa Ndege Binafsi ya Donald Trump

  Bilionea Donald Trump ni miongoni mwa watu matajiri nchini Marekani. Bilione huyu ni mfanyabaishara anayemimiliki  mashamba na hoteli mbalimbali nchini humo. Katika wakati wote wa kampeni, Donald Trump alikuwa akitumia ndege yake binafsi katika safari zake.

  Ndege hiyo inaelezwa kuwa ni moja ya ndege binafsi za kifahari zenye mvuto mkubwa sana.

  Kwa vile sasa amechaguliwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani atalazimika kuiacha ndege hiyo na kutumia ndege maalum ya Rais ‘Air Force One’ ambayo ndiyo hutumiwa na rais wa nchi hiyo.

  Hapa chini ni video ikikuonyesha muonekano wa ndani wa ndege binafsi ya Donald Trump.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku