• Breaking News

  Nov 8, 2016

  Wabunge wa CCM Wanagawana Hela za CCM, Je Wanachama Tutagawiwa Lini?

  Nimeshangazwa Na kauli ya katibu wa CCM Bunge akidai eti wabunge waliopewa sh. Mil.10 kila mbunge ni sawa Kwa sababu wamegawana fedha za CCM .

  Najiuliza kwani CCM ni ya Wabunge peke yao? Je sisi wanachama wa CCM mgao wetu uko wapi? Kauli nyingine zinakera sana hiki chama sio cha wabunge tu ni chetu sote, Leo iweje Wabunge ndio wagawane fedha zote hizo?

  By Mwembemdogo

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku