Nov 8, 2016

Wabunge Waridhia Msimamo wa Serikali wa Kutokusaini Mkataba wa EPA

Wabunge wameridhia rasmi msimamo wa serikali wa kutokusaini mkataba wa ubia wa uchumi ' EPA' baina ya nchi za jumuia ya Afrika Mashariki na umoja wa ulaya.

Sikia michango ya baadhi ya wabunge hapo chini

No comments:

Post a Comment