• Breaking News

  Nov 22, 2016

  Wazazi Wamshushia Binti yao Kipigo Mpaka Kumuua, Kisa Sherehe


  KENYA: Wazazi wawili wanashikiliwa na Polisi kwa kumpiga binti yao hadi kumuua wakidai alienda kwenye sherehe bila kuomba ruhusa.

  Mdogo wake na marehemu amesema kuwa alikuwa akiumia pale alipowaona wazazi wakimpiga dada yake bila huruma huku akishindwa kumuokoa kutoka kwenye kipigo.

  Mdogo wa Marehemu anasema dada yeke aliporudi aliogopa kurudi kwao akaenda kwa jirani ndipo wazazi wakaenda kumchukua na kuanza kumpiga.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku