• Breaking News

  Dec 26, 2016

  VIDEO:Salamu za Christmass Kutoka Kwa Edward Lowassa

  Leo ni siku muhimu kwa wakristo duniani ambapo wanakumbuka siku ya kuziliwa kwake Mwokozi, Bwana Yesu Kristo. Watu mbalimbali hujumuika pamoja katika siku hii wakila na kunywa kwa pamoja.

  Kadi za salamu za krismasi hutumwa kwa watu mbalimbali wakitakiana sikukuu njema ya Krismasi. Huu ni utamadauni ambao umejengeka kwa miaka mingi vizazi na vizazi.

  Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa ametuma salamu zake za sikukuu kwa watanzania wote.

  Aidha, wakati huo juo katika hali inayoaminika kuwa ni mwendelelzo wa serikali kubana matumizi, Wizara ya Fedha na Mipango imetuma kadi za ‘soft copy’ kwa wafanyakazi wake tofauti na miaka ya nyuma ambapo kila mfanyakazi hutumiwa nakala ya karatasi ‘hard copy.’

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku