Dec 2, 2016

WAZIRI Mwijage Akiri Serikali ilikuwa Inaficha: Dangote Wanataka Gesi ya Bure, Hawatawapa

Waziri wa viwanda na biashara baada ya kudanganya jana kuwa hawana tatizo lolote na Dangote kufuatia kusimamishwa kwa uzalishaji wa saruji leo amegeuka na kukiri walikuwa wanaficha.

Amedai kuwa Dangote anataka apewe gesi ya bure lakini hawatatoa kwa kuwa hiyo itakuwa ni upendeleo na makampuni mengine hayatachezewa fair.

Amesa makampuni yote yanapaswa kutumia makaa ya mawe hapa nchini ili kuwe na usawa kwa kila mtu kwa kuwa soko moja


Ikumbukwe:
Jana mwijage aliongea kwa confidence kabisa kuwa hakuna tatizo kati ya serikali na Dangote na akalaani tabia ya watanzania kuzusha mambo ili kuogopesha wengine


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

1 comment:

  1. Mvinyo mpya,kikombe kilekile....

    ReplyDelete

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR